in , , , , , , , ,

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024

JESHI LA POLISI, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi September 2024
Tanzania Police Force

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024

?UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!?

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi September 2024

Call for Work Police Force Tanzania September 2024

JESHI
LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi, Walioitwa Kujiunga Jeshi
la Polisi 2024, JESHI LA POLISI Kuitwa kwenye Mafunzo, Walioitwa
Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024, JESHI LA POLISI Kuitwa
Kwenye Mafunzo, Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024,
Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2024, Walioitwa Kwenye Mafunzo
Jeshi la Polisi 2024, Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2024
PDF, Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024,
Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2024, Kuitwa
kwenye Mafunzo jeshi la polisi 2024, Kuitwa kwenye Mafunzo jeshi la
Polisi 2024, Ajira Mpya Jeshi la Polisi Tanzania 2024, Jobs at Tanzania
Police Force, Job Opportunities Jeshi la Polisi Tanzania 2024

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi September 2024

Tangazo la kuripoti shule ya Polisi Moshi
TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA
1. Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana wote waliochaguliwa
kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya
Polisi Moshi kuanzia tarehe 30/09/2024 hadi tarehe 02/10/2024 kwa ajili
ya kuhudhuria mafunzo.
2. Vijana waliofanyiwa usaili Chuo cha
Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) na Vikosi vilivyo chini ya Makao
Makuu ya Polisi wanatakiwa kuripoti Dar es salaam eneo la Polisi
(Barracks) Barabara ya Kilwa karibu na Hospitali Kuu ya Polisi tarehe
30/09/2024 saa 12.00 asubuhi kwa ajili ya safari ya kwenda Shule ya
Polisi Moshi.
3. Vijana waliofanyiwa usaili Mikoa ya Tanzania Bara
wanatakiwa kuripoti kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliofanyia usaili
tarehe 29/09/2024 saa 2.00 asubuhi kwa ajili ya kupewa utaratibu wa
safari ya kwenda Shule ya Polisi Moshi.
4. Vilevile, vijana
waliofanyia usaili Zanzibar (Unguja na Pemba) wanatakiwa waripoti Makao
Makuu ya Polisi Zanzibar (Ziwani) tarehe 29/09/2024 kwa ajili ya
kupangiwa utaratibu wa safari.
Read Also:

5. Aidha, vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa waripoti Shule ya Polisi Moshi wakiwa na vifaa vifuatavyo:
i) Track suti (track suit) rangi ya bluu (blue) yenye ufito mweupe,
fulana (t-shirt) nyeupe isiyo na maandishi, raba, soksi nyeusi, bukta
mbili (2) za bluu (blue) kwa ajili ya michezo na mazoezi pamoja na
sanduku la chuma (Tranka) la rangi ya blue.
ii) Chandarua cheupe cha
duara na sio cha pembe nne, shuka za light blue jozi mbili (Shuka 4),
blanket moja la kijivu lisilo na maua na sio duveti na pasi ya mkaa.
iii) Vifaa vya usafi: reki, jembe lenye mpini, panga, ndoo mbili ndogo na fagio la chelewa.
iv) Kadi ya bima ya Afya (NHIF) au fedha taslimu Tsh. 50,400/= kwa wasio na kadi za bima ya Afya.
v) Vyeti halisi vya taaluma (Original Academic Certificates), cheti
halisi cha kuzaliwa, kadi ya NIDA au namba ya Utambulisho wa Taifa
(NIDA), Nakala za kadi za NIDA au namba za Utambulisho wa Taifa (NIDA)
za wazazi na watu wa karibu upande wa Baba na Mama (kama vile Baba
Mkubwa, Mdogo, Shangazi, Mama mkubwa, mdogo, mjomba, Babu, Bibi nk)
passport size 06 (background blue), na nakala (copy) 5 kwa kila cheti
kilichoainishwa hapo juu.
vi) Fedha ya kujikimu.
6. Simu za
mkononi haziruhusiwi chuoni, hivyo ni marufuku kuripoti Shule ya Polisi
Moshi na simu ya mkononi. Yeyote atakaepatikana na simu itachukuliwa
kuwa ni utovu wa nidhamu na adhabu yake ni kufukuzwa mafunzo mara moja.
Shule itaelekeza utaratibu wa kupata mawasiliano.
7. Kwa yeyote
atakaye ripoti Shule ya Polisi Moshi baada ya tarehe 02/10/2024
hatopokelewa na atahesabika amejiondoa mwenyewe kwenye mafunzo.
8. Orodha ya vijana waliochaguliwa imeambatishwa kwenye tangazo hili.

Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,
S.L.P 961,
DODOMA.
23/09/2024.

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi September 2024 PDF

Kupakua/download tangazo kamili na orodha ya majina bonyeza link hapa chini.
Official Released Date:
23rd September, 2024.
SOURCE: POLISI TANZANIA OFFICIAL WEBSITE
READ FULL DETAILS HERE!

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

Senior Engineer at Innovation: Africa (iA) Tanzania

Group Admin Lead at Alistair Group Tanzania