in , , , , , , , ,

JESHI: Call for Interview Police Force Tanzania July 2024

Tanzania Jobs Portal - Career
Tanzania Police Force
JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024

?UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!?

Call for Interview Police Force Tanzania July 2024

JESHI
LA POLISI Kuitwa kwenye Interview, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la
Polisi July 2024, JESHI LA POLISI Kuitwa Kwenye Usaili, Walioitwa Kwenye
Interview Jeshi la Polisi July 2024, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la
Polisi 2024, Walioitwa Kwenye Interview Jeshi la Polisi 2024, Walioitwa
Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2024 PDF, Majina ya Walioitwa Kwenye
Usaili Jeshi la Polisi July 2024, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili
Jeshi la Polisi 2024, Kuitwa kwenye usaili jeshi la polisi 2024, Kuitwa
kwenye interview jeshi la Polisi 2024, Ajira Mpya Jeshi la Polisi
Tanzania 2024, Jobs at Tanzania Police Force, Job Opportunities Jeshi la
Polisi Tanzania 2024

JESHI LA POLISI: Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024

Tangazo la kuitwa kwenye usaili
Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda
kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia
mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL, usaili wao
utafanyika kuanzia tarehe 29/7/2024 hadi tarehe 11/8/2024 nchini kote.

Waombaji wa Tanzania Bara wenye elimu ya Shahada, Stashahada na
Astashahada usaili wao utafanyika jijini Dar es Salaam katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi (DPA) kilichopo Barabara ya Kilwa (Kurasini).
Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika
kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

Waombaji wa Zanzibar
wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na nne
usaili utafanyika Zanzibar. Kwa walioko Mikoa ya Unguja usaili
utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mikoa ya Pemba usaili
utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).
Read Also:

Kila mmoja anatakiwa kufika akiwa na vyeti halisi vya taaluma (academic
certificates), cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Mamlaka ya
Utambulisho wa Taifa NIDA au namba ya utambulisho wa Taifa NIDA, nguo na
viatu vya michezo.

Kijana yeyote atakaefika kwenye usaili baada
ya tarehe 29/07/2024 hatopokelewa. Orodha ya vijana waliochaguliwa
kufanya usaili imeambatishwa pamoja na tangazo hili.

Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
S.L.P 961
DODOMA.

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi July 2024 PDF

Kupakua/download tangazo kamili na orodha ya majina bonyeza link hapa chini.
Official Released Date:
23rd July, 2024.
SOURCE: POLISI TANZANIA OFFICIAL WEBSITE
DOWNLOAD PDF FILE.CLICK HERE!

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

Marketing Coordinator at DKT International

Community Service Officer at The School of St Jude Arusha