in , , , , , , , ,

Orodha ya Vilabu 30 Bora Afrika 2024/2025 CAF Club Ranking 2025

Orodha ya Vilabu 30 Bora Afrika 2024/2025 CAF Club Ranking - Updated
Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025)

Orodha Kamili ya vilabu 30 Bora Afrika baada ya hatua ya Robo Fainali
ya Michuano ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup 2024/2025.

Baada ya Kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika
(CAF Confederation Cup 2024/2025) Simba SC Kutoka Tanzania imefikisha
Pointi 43 kwenye Ubora wa Vilabu Afrika na kupanda mpaka nafasi ya 4
kutoka nafasi ya 6 kwenye Club Ranking.

Simba ipo nafasi ya nne nyuma ya Al Ahly ya Misri yenye pointi 78,
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini yenye pointi 57 na Esperance de Tunis
ya Tunisia yenye pointi 57.

Nafasi ya tano yupo RS Barkane ya Morocco ikiwa na pointi 42, Zamalek
ya Misri wapo nafasi ya sita kwa pointi 42, nafasi ya saba wapo Wydad
Athletic ya Morocco ikiwa na pointi 39, Pyramids wao wapo nafasi ya nane
wakiwa na pointi 37, USM Alger
wapo nafasi ya tisa Kwa pointi 37, huku nafasi ya kumi wakiibeba CR
Belouizdad kw pointi 36 na Yanga ya Tanzania ipo nafasi ya 11 kwa pointi
34.

Orodha Kamili ya Vilabu 30 Bora baada ya kukamilika Kwa Robo
Fainali ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup 2024/2025 ni
kama ifuatavyo;

  1. Al Ahly – Egypt = 78.
  2. Mamelod – South Africa = 57.
  3. Esperance de Tunis – Tunisia = 57.
  4. Simba SC – Tanzania = 43.
  5. Zamaleck – Egypt = 42.
  6. RS Berkane – Morocco = 42.
  7. Wydad Athletic – Morocco = 39.
  8. Pyramid FC – Egypt = 37.
  9. USM Alger – Algeria = 37.
  10. CR Belouizdad – Algeria = 36.
  11. Yanga SC – Tanzania = 34.
  12. ASEC Mimosas – Ivory Coast = 33.
  13. Al Hilal Omdurman – Sudan = 32.
  14. TP Mazembe – DR Congo = 30.5.
  15. Orlando Pirates – South Africa = 30.
  16. Raja Casablanca – Morocco = 30.
  17. Petro de Luanda – Angola = 27.
  18. AS FAR Rabat – Morocco = 21.
  19. MC Alger – Algeria = 18.
  20. Sagrada Esperanca – Angola = 16.
  21. CS Constantine – Algeria = 15.
  22. Stellenbosch FC = South Africa = 15.
  23. Al Masry – Egypt = 14.
  24. Rivers United – Nigeria = 14.
  25. JS Kabylie – Algeria – 13.
  26. Dreams FC – Ghana = 12.
  27. Stade Malien – Mali = 10.5.
  28. Horoya Athletic – Guinea = 10.
  29. Future FC – Egypt – 9.5.
  30. Etoile du Sahel – Tunisia = 9.

READ ALSO:

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

Brand Ambassadors at Onfon Media (T) Limited

HR Coordinator at ADD International Tanzania April 2025