in , , , , , , , , ,

PDF Files – Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025

Fire and Rescue Service
New Government Job Opportunities at Fire and Rescue Service March 2025

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

AJIRA MPYA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI  TANZANIA 2025 | NAFASI MPYA ZA KAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANZANIA 2025

PDF Files -WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025
Overview

Nafasi
za Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania Machi 2025, Ajira Mpya JESHI
la Zimamoto Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania, Nafasi
Mpya za Kazi JESHI la Zimamoto Tanzania Machi 2025, Tanzanian Fire and
Rescue Force Jobs 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima moto Tanzania Machi
2025, Ajira Mpya JESHI la Zima Moto Machi 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima
Moto Tanzania, Nafasi Mpya za Kazi JESHI la Zima Moto Tanzania Machi
2025

PDF Files – WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 2025

NEW UPDATES: Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji – PDF Files

  1. Pakua Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili.PDF
  2. Pakua Orodha ya Walioitwa kwenye usaili Kidato Cha Nne.PDF
  3. Pakua Orodha ya Walioitwa kwenye usaili Taaluma Mabambali.PDF
****************

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha
kukujulisha kuwa umechaguliwa kwenye orodha ya walioteuliwa
(SHORTLISTED) kwa nafasi uliyotuma maombi.

Usaili utafanyika
katika Ofisi za Kanda za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ulizochagua wakati
wa maombi tarehe 5 Aprili, 2025 kwa waombaji wa ngazi ya Kidato cha Nne,
na katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Dodoma, kuanzia
tarehe 14 Aprili, 2025 kwa waombaji wa Taaluma Maalum (Professional
Cadres).

Unatakiwa kuja na nyaraka halisi ulizotumia wakati wa kutuma maombi ya kazi, kama ifuatavyo:

  1. Vyeti vya kitaaluma
  2. Vyeti vya taaluma
  3. Cheti cha kuzaliwa
  4. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA (NIN)
  5. Barua ya utambulisho
  6. Barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono

Tafadhali kumbuka: Unakumbushwa kuvaa mavazi ambayo hayatazuia kukimbia.
Tembelea
kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu mchakato wa
ajira na tarehe yako ya usaili (kwa waombaji wa Taaluma Maalum pekee).

Majina ya Usaili Zimamoto tayari yametoka, Download/Pakua PDF files za majina hapo juu tafadhali!

NOTE: Download/Pakua PDF files za majina hapo juu tafadhali!

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

Reclaimer Operator at Lake Cement Limited

2 New Various Jobs at BBC Media Action Tanzania April 2025