in , , , , , , , ,

TRA: Cheki Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025 – PDF

TRA: Vituo na Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA
TRA: Cheki Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025

💥MASWALI 200+ YA USAILI TRA+OTHER UPDATES. CLICK HERE!💥

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

Ajira Mpya TRA 2025 – New Government Jobs at TRA 2025

TRA: Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Yametoka
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025
TRA:
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania yametoka
rasmi. Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania
(TRA) Bw. Moshi Jonathan Kabengwe amesema majina ya waombaji wa ajira
1,596 za TRA zilizotangazwa hivi karibuni yametolewa rasmi leo hii
tarehe Machi
22.2025 kwa ajili ya usaili wa kuandika
utakaofanyika Machi 29 na 30 mwaka huu kwenye vituo 9.
Read Also:

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Bw. Kabengwe amesema kati ya waombaji 135,027 waliotuma
maombi ya nafasi za ajira, waombaji 112,952 wamekidhi vigezo na kuitwa
kwenye usaili wa kuandika

TRA: Cheki Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Machi 2025

CHECK
MAJINA YOTE AND ADDITIONAL DETAILS: Follow the link below to read full
details with all names called for interview TRA March 2025…..
Official Released Date: 22nd March 2025.
DOWNLOAD PDF FILE HERE!

Vituo vya Usaili TRA kwa Watakaoitwa Kwenye Interview Mamlaka ya Mapato Tanzania Leo

Bw. Kabengwe amesema usaili huo utafanyika kwenye Mikoa 8 na Zanzibar ambayo ni:
1. Dar es Salaam ambayo itahusisha waombaji kutoka Dar es Salaam na
Pwani.

2. Zanzibar ambayo itahusisha waombaji kutoka Unguja na Pemba

3. Arusha ambayo itahusisha waombaji kutoka Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga

4. Dodoma ambayo itahusisha waombaji kutoka Morogoro, Dodoma, Singida, Iringa na Tabora

5. Mtwara ambayo itahusisha waombaji kutoka Mtwara, Lindi na Ruvuma

6. Mbeya ambayo itahusisha waombaji kutoka Mbeya, Songwe na Rukwa

7. Mwanza ambayo itahusisha waombaji kutoka Mwanza, Shinyanga, Mara na Simiyu

8. Kagera ambayo itahusisha waombaji kutoka Kagera na Geita na

9. Kigoma ambayo itahusisha waombaji kutoka Kigoma na Katavi.

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

ULS Livelihood Consultant at STEP March 2025

UTUMISHI: Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Leo 23rd March 2025