in , , , , , , ,

Bado Nina Wasiwasi na SIMBA SC Mbele ya Al Masry

SIMBA
Simba Sports Club

Mchambuzi wa michezo Geoffrey Lea anasema bado ana wasiwasi na Simba mbele ya Al Masry.

Bado
nina wasiwasi na Simba mbele ya Al Masry, labda ya kufikia tarehe 2
Simba itakuwa imejiimarisha zaidi, kumfunga Dodoma Jiji goli 6 sio
tiketi ya kwenda kumfunga Al Masry.

Nimewafuatilia Al Masry wapo vizuri na mpira sio bahati bali Simba anakutana na wapinzani ambao wamemzidi.

Geoffrey Lea
READ ALSO:

KWAKO WEWE MDAU: JE, SIMBA HII UNAIONAJE? WEKA COMMENT YAKO HAPO CHINI

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

3 New Various Jobs at GardaWorld Africa March 2025

3 New Various Jobs at Geita Gold Mining Ltd (GGML) March 2025