in , , , , , , , , , , ,

Taarifa Zote Muhimu Kuhusu Usaili wa Ajira za Ualimu 2025 na Majina ya Nyongeza

UTUMISHI/TAMISEMI: Taarifa Zote Muhimu Kuhusu Usaili wa Ajira za Ualimu 2025 na Majina ya Nyongeza
UTUMISHI | AJIRA PORTAL

PRESIDENT’S OFFICE

NEW GOVERNMENT JOBS 2025 | NEW JOBS AJIRA PORTAL 2025 | NEW JOBS UTUMISHI 2025 | JOBS VACANCIES 2025
TAMISEMI:
Ajira Mpya za Walimu Tamisemi 2025, Ajira Mpya  za walimu Tamisemi 
2025, Ajira Mpya za walimu serikalini 2025, Tamisemi Ajira Mpya za
walimu 2025, Government Jobs Opportunities Various Regions, Ajira Mpya
UTUMISHI 2025, Nafasi Za Kazi Serikalini 2025, TAMISEMI Teachers
Government Jobs 2025 | TAMISEMI Ajira Za Walimu 2025, Ajira za Walimu
Serikalini 2025, TAMISEMI Ajira Za Walimu 2025, Teachers Jobs TAMISEMI
2025, Teachers Jobs TAMISEMI 2025

LATEST UPDATES ON AJIRA ZA WALIMU 2025

MAJINA YA NYONGEZA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA KADA ZA UALIMU

  1. PART I: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UALIMU MAJINA YA NYONGEZA 08-01-2025
  2. PART II: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UALIMU MAJINA YA NYONGEZA 08-01-2025

TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2025

Kupitia
tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika
Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za
Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika
kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025.

RATIBA YA USAILI WA KADA ZA UALIMU 2025

Katibu
wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu kuwa,usaili
utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari,
2025 kama inavyoonekana kwenye ratiba hii.

Go to our Homepage To Get Relevant Information.

logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

100 New Jobs at Hoovex Ltd January 2025

12 New Various Government Jobs at Utumishi January 2025